ERP iliyotengenezwa kwa biashara za Tanzania
Biashara yako yote.
Mfumo mmoja.
Simamia mauzo, bidhaa, wateja, manunuzi, fedha na matawi kwa urahisi—kutoka popote.
Hakuna installation
Inafanya kazi kwenye simu
Data salama
Mauzo mwezi huu+24.8%
Stock statusImesasishwa
JJENOVA ERP
Tafuta...
LA
Jumatano, 17 Julai
Habari, MIM AGROVET
Mwenendo wa MauzoSiku 7 zilizopitaTZS 8.4M
Stock Alerts Soda 500ml 8 Sukari 1kg 5 Maji 1.5L 12
Mauzo ✦ Stock ✦ Wateja ✦ Matawi ✦ Ripoti ✦ Manunuzi ✦ Fedha ✦ Usalama
Zana za biasharaKila unachohitaji
Kila unachohitaji
kukaa mbele.
Ondoa makaratasi na taarifa zilizotawanyika. JENOVA inakupa picha kamili ya biashara yako.
Mauzo na POS
Risiti, cashier, punguzo na malipo kwa wakati halisi.
Stock na Bidhaa
Barcode, expiry date, reorder level na stock alerts.
Wateja na Suppliers
Historia, madeni, manunuzi na mawasiliano sehemu moja.
Matawi Mengi
Fuatilia kila tawi bila kuchanganya taarifa za biashara.
Ripoti na Faida
Maamuzi bora kupitia ripoti sahihi na zinazoeleweka.
Data Salama
Roles, permissions na data tofauti kwa kila kampuni.
Biashara katika udhibiti wakoMaamuzi ya haraka.
Maamuzi ya haraka.
Taarifa sahihi.
Fungua dashboard yako na ujue kinachoendelea kwenye mauzo, stock na matawi bila kusubiri ripoti ya mwisho wa mwezi.
Anza kutumia JENOVA
Uko tayari?
Anza kusimamia biashara
Anza kusimamia biashara
kwa njia bora zaidi.
Chagua kifurushi kinachoendana na biashara yako. Akaunti yako inaanza kufanya kazi baada ya malipo kuthibitishwa.