Chagua suluhisho linalofaa biashara yako

Smart ERP, Hotel & Lodge na mifumo maalumu—vyote ndani ya JENOVA.

JENOVA Smart ERP

Kwa usimamizi wa mauzo, stock, manunuzi, matumizi, wateja, watumiaji na ripoti za biashara.

JENOVA Hotel & Lodge

Kwa vyumba, wageni, booking, check-in, check-out, housekeeping, huduma za ziada, malipo na ripoti.

Mifumo Maalumu

Mifumo inayoundwa na kusanidiwa kulingana na mtiririko halisi wa biashara yako.

JENOVA ERP

Basic Pack

Kwa biashara ndogo inayoanza

TZS 25,000/ MO
kwa mwezi
  • 1 Tawi la Biashara
  • Hadi watumiaji 3
  • Hakuna ada ya usajili
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
Chagua Basic Pack
Hotel & Lodge

Guest House

Kwa guest house ndogo zinazohitaji booking na usimamizi rahisi.

TZS 30,000/ MO
kwa mwezi
  • Hotel dashboard
  • Usimamizi wa vyumba na wageni
  • Online na manual booking
  • Check-in na check-out
  • Malipo na ripoti za msingi
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
JENOVA ERP

Business Pack

Kwa biashara inayokua

TZS 50,000/ MO
kwa mwezi
  • 3 Tawi la Biashara
  • Hadi watumiaji 9
  • Hakuna ada ya usajili
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
Chagua Business Pack
JENOVA ERP

Enterprise

Kwa biashara kubwa na matawi mengi

TZS 70,000/ MO
kwa mwezi
  • Watumiaji Hadi 8
  • Matawi Hadi 5
  • Mfumo wa POS na Usimamizi wa Mauzo
  • Usimamizi Kamili wa Bidhaa na Stock
  • Usimamizi wa Manunuzi na Gharama
  • Ripoti za Kina za Utendaji wa Biashara
  • Taarifa na Vikumbusho kupitia Barua Pepe
  • Msaada wa Haraka kupitia WhatsApp
  • Maboresho ya Mfumo Bila Gharama ya Ziada
Hotel & Lodge

Basic Hotel

Kwa hotel ndogo zinazoanza kutumia mfumo wa kidigitali.

TZS 70,000/ MO
kwa mwezi
  • Hotel dashboard
  • Vyumba, wageni na reservations
  • Online booking
  • Check-in, malipo na check-out
  • Housekeeping
  • Ripoti za mapato na occupancy
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
Hotel & Lodge

Luxury Hotel

Kwa hotel kubwa yenye huduma nyingi na usimamizi wa kina.

TZS 150,000/ MO
kwa mwezi
  • Features zote za Standard Hotel
  • Multi-branch hotel management
  • Advanced staff access control
  • Advanced financial na operational reports
  • Bank reconciliation
  • Priority support
  • Siku 7 za majaribio bila malipo
Mfumo Maalumu

Duka la Vinywaji

Mfumo wa stock na mauzo kwa chupa, kreti, carton na bidhaa zinazorejeshwa.

  • Ubadilishaji wa vipimo vya stock
  • Chupa na kreti zinazorejeshwa
  • Mauzo, madeni na ripoti
Bei huandaliwa kulingana na modules, branches na users wanaohitajika.
Mfumo Maalumu

Usimamizi wa Mbao

Kwa ununuzi, uchanaji, uzalishaji, stock, mauzo na gharama za mradi wa mbao.

  • Production tracking
  • Timber stock & sales
  • Project costs & reports
Bei huandaliwa kulingana na ukubwa na mtiririko wa operation.
Mfumo Maalumu

Mfumo wa Pharmacy

Kwa batch, expiry dates, stock, suppliers, mauzo na ufuatiliaji wa bidhaa.

  • Batch & expiry tracking
  • Low-stock alerts
  • Sales & purchase reports
Modules zitasanidiwa kulingana na mahitaji na taratibu za biashara.