Mfumo mmoja. Udhibiti kamili.

Huduma zinazorahisisha biashara yako.

Kuanzia mauzo ya kila siku hadi ripoti za matawi yote, JENOVA Smart ERP inakusanya kila taarifa muhimu katika sehemu moja.

Mfumo wa cloudInafanya kazi kwenye simuData salama
Zana za biashara

Kila unachohitaji kukua kwa uhakika.

Ondoa makaratasi, kazi zinazojirudia na taarifa zilizotawanyika. Pata picha kamili ya biashara yako wakati wowote.

01

Mauzo na POS

Risiti, cashier, marejesho, punguzo, njia za malipo na kufunga mauzo ya siku.

02

Usimamizi wa Stock

Bidhaa, barcode, tarehe za mwisho, uhamisho wa stock, tahadhari na marekebisho.

03

Manunuzi

Oda za manunuzi, suppliers, kupokea stock na kufuatilia salio la malipo.

04

Fedha

Mapato, matumizi, mtiririko wa fedha, faida na hasara pamoja na invoice.

05

Wateja

Wasifu wa wateja, vikomo vya mikopo, historia na rekodi za uaminifu.

06

Usimamizi wa Matawi

Muonekano wa head office, ruhusa za matawi na ripoti zilizojumuishwa.

07

Watumiaji na Majukumu

Admin, manager, cashier, accountant na ruhusa maalumu.

08

Ripoti

Mauzo, stock, faida, wadaiwa, matumizi na rekodi za ukaguzi.

Uko tayari kuanza?

Jaribu JENOVA kwa siku 7 bila malipo.