Dashboard moja. Udhibiti kamili.

Dhibiti biashara.
Ongeza faida.

Jua kinachouzwa, kilichopo stock na faida unayopata—kwa wakati halisi, kutoka tawi lolote.

Hakuna installationInafanya kazi kwenye simuData salama
Mauzo mwezi huu+24.8%
Hali ya stockImesasishwa
JENOVA ERPDashboard ya BiasharaJA
Muhtasari wa leo

Habari, MIM AGROVET

Mauzo ya LeoTZS 1.8M+12.5%
Orders128+8.2%
Bidhaa842Imara
Matawi4Active
Mwenendo wa Mauzo
24/7Mfumo unapatikana
CloudFanya kazi popote
100%Data salama
1Dashboard ya biashara yote
Zana za biashara

Kila unachohitaji
kukaa mbele.

Ondoa makaratasi na taarifa zilizotawanyika. JENOVA inakupa picha kamili ya biashara yako.

Mauzo na POS

Risiti, cashier, punguzo na malipo kwa wakati halisi.

Stock na Bidhaa

Barcode, expiry date, reorder level na stock alerts.

Wateja na Suppliers

Historia, madeni, manunuzi na mawasiliano sehemu moja.

Matawi Mengi

Fuatilia kila tawi bila kuchanganya taarifa za biashara.

Ripoti na Faida

Maamuzi bora kupitia ripoti sahihi na zinazoeleweka.

Data Salama

Roles, permissions na data tofauti kwa kila kampuni.

Biashara katika udhibiti wako

Maamuzi ya haraka. Taarifa sahihi.

Fungua dashboard yako na ujue kinachoendelea kwenye mauzo, stock na matawi bila kusubiri mwisho wa mwezi.

Anza kutumia JENOVA
24/7Upatikanaji wa mfumo
100%Data tofauti kwa kila kampuni
1Dashboard ya biashara nzima
∞Nafasi ya biashara kukua
Uko tayari?

Anza kusimamia biashara kwa njia bora zaidi.

Chagua kifurushi kinachoendana na biashara yako na uanze kujenga biashara yenye taarifa sahihi.